cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,143 Reaction score 1,839 Sep 19, 2017 #1 Nina uhitaji mkubwa sana wa gari aina ya NOAH ivyo kwa yeyote ambaye ana aina iyo ya gar ani PM haraka sana, ila iwe kwenye hari nzur ofa yangu ni M6 mpaka M6.5 au mnitafute kwa no 0715 546818 nipo MOROGORO MJINI
Nina uhitaji mkubwa sana wa gari aina ya NOAH ivyo kwa yeyote ambaye ana aina iyo ya gar ani PM haraka sana, ila iwe kwenye hari nzur ofa yangu ni M6 mpaka M6.5 au mnitafute kwa no 0715 546818 nipo MOROGORO MJINI
enjai ya kyasha JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 3,110 Reaction score 3,673 Sep 19, 2017 #2 Subir acacia wanipe yangu then tutaongea
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Sep 19, 2017 #3 Mbona kama unawashwa mkuu cleokippo, si usubiri tu wamalize mazungumzo ili watupatie vyuma vyetu! 😀
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,453 Reaction score 2,206 Sep 19, 2017 #4 Izo haraka nikajua una mil 11
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,447 Sep 19, 2017 #5 Mil 6 labda unataka chuma chakavu kinachofanana na Noah