Mwenye nayo piga 0714 064 767 ili tufanye biashara ya kunikodisha halafu mwaka kesho itatumika kwenye shule ya nursery ipo Ubungo, nipo Dar. Dereva Ni Mimi mwenyewe.
Kuna watu wengine humu jamii forum wanachekesha wanaweza wakakuita njoo uchukue Noah wanakuletea Noah imechoka hata askari akiona lazima akusimamishe yaani huu mtihani