jaribu kurudisha nyuma mwaka andika tarehe 15 mwezi 5 mwaka 2007 halafu download. Ukishamaliza rudisha tarehe kama awali. Ikishindikana google Drakkarious, itakusaidia kuhack simu yako. Hiyo drakkariou inaprogramu nne ndani yake x-plorer, helocarbide etc.