No US funds will go to HAMAS

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

SHARM EL-SHEIKH, Egypt (Reuters) – Secretary of State Hillary Clinton took a hard line against the Islamist Hamas group on Monday and said $900 million in U.S. aid for the Palestinians was part of a broader bid for Arab-Israeli peace.

Underlining the U.S. administration's position, Clinton said no money would go to Hamas which must recognize Israel, renounce violence and sign on to past Israeli and Palestinian agreements if it wanted to come out of isolation.

In her first foray into Arab-Israeli peacemaking, Clinton said President Barack Obama's administration was committed to pursuing an Arab-Israeli peace and that the aid package, about a third of it for Gaza, was aimed at accelerating those efforts.

"Our response to today's crisis in Gaza cannot be separated from our broader efforts to achieve a comprehensive peace," Clinton told an international donors' conference held for Gaza in the Egyptian coastal resort of Sharm El-Sheikh.

"Only by acting now can we turn this crisis into an opportunity that moves us closer to our shared goals," she said.

Later on Monday, Clinton will go to Israel and the West Bank where the U.S. special envoy to the Middle East for the Obama administration, George Mitchell, has been speaking to both sides to assess options for restarting peace talks.



 

This is what they need. Ms. Clinton you did it. No money to Islamist, extremists, radicals, and fanatics HAMAS.

Waende kuomba pesa kwa ndugu zao Waarabu
 
Hamas represents the people of Gaza. The Hamas government was demoratically elected by the people. Any efforts to have a peaceful resolution of the conflict that alianate Hamas, will be doomed from the offset.
 
Hamas represents the people of Gaza. The Hamas government was demoratically elected by the people. Any efforts to have a peaceful resolution of the conflict that alianate Hamas, will be doomed from the offset.

Ni kweli Kitia na ni lazima tukumbuke kuwa Hamas haikuingia kwenye Uongozi wa Palestine kwa nguvu...ilitumika njia ya kidemokrasia (vote) kuingia Madarakani,kwa maana hiyo wananchi wengi wa Palestine wanaiafiki HAMAS.US imekuwa inahubiri sana utawala wa kidemokrasia,kwa suala hili la Hamas kuna mushkeli,kwa sababu inaonekana wamewawekea vikwazo,na hiyo inachochea jazba......Ni kukaa na Uongozi wa Hamas mezani na kuwauliza wanataka nini? Kama kuna guts za kukutana na Ahmadinajeed au Kim Kwa nini tunamkimbia Hania?
 

Hamas ni kikundi cha kidini cha Uislam kinachotetea na kuendeleza ugaidi na uuaji.

Hamas ni majangiri wa kawaida na kinachotakiwa ni kuwafuta kabisa kama Israel inavyo wafundisha adabu. There is nothing good from HAMAS ZAIDI YA TERROR.
 

Hamas ni kikundi cha kidini cha Uislam kinachotetea na kuendeleza ugaidi na uuaji.

Hamas ni majangiri wa kawaida na kinachotakiwa ni kuwafuta kabisa kama Israel inavyo wafundisha adabu. There is nothing good from HAMAS ZAIDI YA TERROR.

Tatitzo kubwa lililopo ni kuwa wengi wetu, au kwa kutokujua, au kwa makusudi tu, tunashindwa kuona chanzo cha tatizo ni kipi na kusingizia ugaidi, udini, badala ya kuangalia harakati za watu katika kujikomboa. Nelson Mandela aliitwa terrorist alipokuwa anapigania uhuru wa wazalendo wa Afrika Kusini. Leo hii, amekumbatiwa sana na walewale waliomuita terrorist. Neno hilo siku hizi linatumiwa kuhalalisha mambo mengi kisiasa.

Israel inakalia na kuchukua kwa mabavu, kwa ushirikiano wa Marekani na nchi nyingi za magharibi, nchi ambayo tangu hapo awali ilikuwa ya Wapalestina. Hakuna uhalali wowote wa Israel kufanya hivyo, kiasi ambacho hata UN wameweka resolutions nyingi tu kuwa Waisraeli waondoke katika sehemu walizozikalia na waache ujenzi wa makoloni. Kumekuwepo na mazungumzo ya mudamrefu kati ya Wapalestina na Waisraeli kuhusu swala hilo, lakini Waisraeli hawataki kutimiza makubaliano hayo. Kutokana na hali hiyo, Hamas ambao walichoka na unafiki wa nchi za Marekani na magharibi wakaamua kuwa na siasa kali kuhusu maswala ya kujikomboa.

Kutokana na kwamba mwananchi wa kawaida anayo akili ya kujua ni nani anatetea maslahi yake, Wapalestina wengi kwa sasa wanaunga mkono Hamas. Ndio maana nikasema, kama kutakuwa na mazungumzo ya kuleta amani. lazima Hamas wahusishwe kwa vile wanawakilisha hoja za wananchi.
 

Hamas is both a terrorist organization and a mass social, political and religious movement.

Hamas preaches and engages in violence and terror in order to destroy the state of Israel and replace it with an Islamic state. Its virulent hatred of Jews and Judaism is deeply rooted in the anti-Semitic writings of Muslim Brotherhood theologians.

Who is Hamas? - Voice of Revolution


 
They like free monies. Lets see where are they going to get those funds!
 

This is what they need. Ms. Clinton you did it. No money to Islamist, extremists, radicals, and fanatics HAMAS.

Waende kuomba pesa kwa ndugu zao Waarabu

US wenyewe hawana pesa za kuwasaidia wao wenyewe, Je wataweza kuwasadia wengine. Wachina sasa hivi wanatoa foreign aid kama pipi. Zamu za Western kuwa ndiyo watowaji wakubwa wa misaada zishakwisha. Uchumi wao upo ktk njia panda.

Sasa ni zamu ya Mchina. Mchina hana kinyongo na mtu yoyote.
 
Back
Top Bottom