Sisi wabongo ni tafauti na hayo mabango maana hayo tunaona kama ya kumvuta mteja kwa biashara ya hapo kumbe ni tahadhari kwa usalama wake na nishaona kuna shule moja na tangazo lake ni marufuku kukojoa hapa basi ndo kama wanaitwa hapo ni mdundo mdundo hadi ukawekwa uzia ndo poa