Chama cha huyu mama ni kama CCJ. Make aliondoka kaenda Ulaya ambako alikuwa akifanya kazi ya kuwaogesha wazee, then amerudi anataka ku-register chama. So, ni kama CCJ, akipewa ulinzi na yule baby face wa CCJ apewe ulinzi. Alafu anaropoka sana, akitaka kujua madhara ya kuropoka amwulize Rev. Chris Mtikila.