No security for Kagame's rival

Chama cha huyu mama ni kama CCJ. Make aliondoka kaenda Ulaya ambako alikuwa akifanya kazi ya kuwaogesha wazee, then amerudi anataka ku-register chama. So, ni kama CCJ, akipewa ulinzi na yule baby face wa CCJ apewe ulinzi. Alafu anaropoka sana, akitaka kujua madhara ya kuropoka amwulize Rev. Chris Mtikila.

Kwa sababu wewe ulipokwenda ulaya ulifanya hiyo kazi unafikiri kila moja ni lazima aifanye?
 
Back
Top Bottom