Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 944
- 1,628
NO REFORMS NO ELECTION ni kauli mbiu kuu ya wananchi na CHADEMA kwa ujumla, yaani ni kwamba hii statement sio ya CHAMA bali tangu 2005 watu walitaka mabadiliko ila watu wenye IQ kubwa kutoka CHADEMA wakaja kuiweka na kuipa moto.
Kwasasa kila raia anaijua sio mtoto wala mtu mzima yaan hadi wafu wanaijua hii kauli.
Ndugu zangu katika Reforms ifikapo OCTOBER mnajua nini cha kufanya.
Kwasasa kila raia anaijua sio mtoto wala mtu mzima yaan hadi wafu wanaijua hii kauli.
Ndugu zangu katika Reforms ifikapo OCTOBER mnajua nini cha kufanya.