GE2025 No Reforms no Election imeshafanikiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Imefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki.

Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa wanajua Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani.

Hiyo siku ya uchaguzi hata watu wakikaa nyumbani tayari ni ushindi. Hakuna mtu mwenye akili anafikiri kuna chaguzi mwaka huu
 
FB_IMG_1757160741569.jpg
 
Vijiwe vya kahawa jumatatu wajiaandae
 
Imefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki.

Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa wanajua Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani.

Hiyo siku ya uchaguzi hata watu wakikaa nyumbani tayari ni ushindi. Hakuna mtu mwenye akili anafikiri kuna chaguzi mwaka huu
Kama No Reforms , No Election imefanikiwa maana yake Uchaguzi Mkuu umesogezwa mbele sio? Na HAUTAFANYIKA tarehe 29/10/2025 kama ulivyopangwa awali sio? Na kampeni zimeaitiahwa ila Rais Samia yupo Iringa leo kwenye ziara ya Kiserikali sio? Basi sawa. Hongereni sana watu wa No Reforms, No Election. Bado Lissu tu KUNYONGWA!!!👏👏👏👏
 
Mungu wetu, ni Mungu wa haki. Umelaaniwa wewe. Ukuu wa Mungu ulivyo, siyo ajabu, ukatangukia wewe kabla ya Lisu.
 
Halafu huwa mnachekesha sana kuamini Mungu ni wa kwenu peke yenu! Ahahahahaha!
Au mmesahau kuwa imeandikwa," utawala hutoka kwa Mungu?" Ahahahahaha!!
 
Kama No Reforms , No Election imefanikiwa maana yake Uchaguzi Mkuu umesogezwa mbele sio? Na HAUTAFANYIKA tarehe 29/10/2025 kama ulivyopangwa awali sio? Na kampeni zimeaitiahwa ila Rais Samia yupo Iringa leo kwenye ziara ya Kiserikali sio? Basi sawa. Hongereni sana watu wa No Reforms, No Election. Bado Lissu tu KUNYONGWA!!!👏👏👏👏

Kama wewe unafikiri ni uchaguzi kwa watanzania wengi hakuna uchaguzi. Mama anatengeneza picha kama Royal Tour tu hakuna chaguzi hapa!! Nendeni kapigweni picha maana data za ushindi zipo tayari
 
Back
Top Bottom