No reform no marriage!.

Acheni uoga watoto wa kiume.. Mshaambiwa ishini nao kwa akili.. Kuogopa ndoa maana yake hamnazo!?πŸ€£βœŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
Acheni uoga watoto wa kiume.. Mshaambiwa ishini nao kwa akili.. Kuogopa ndoa maana yake hamnazo!?πŸ€£βœŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
Mh! kukataa ndoa sio uoga!, tunakataa ndoa sio kuwakataa wanawake sijui mnajua kutofautisha...?
 
Hii ikawe IRANI kabisa mkuu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…