PreGE2025 No reform no Election ni agano itakula kila mchwa anayeikataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!

Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.

Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.

Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.

Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election

Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!

Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
 
hayajifunzi
 
mbona km inawala zaid walioianzisha. wamepoteana kabisa waenda tuu kwa matumain alimrad siku imepita hawajui nn kitatokea hapo mbele mpaka mda huu
 
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!

Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.

Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.

Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.

Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election

Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!

Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
Hili ni agano kali sana lazima litaumbua miungu watu mwaka huu
 
Sina uhakika sana kuhusu kufika kwa NRNE vijijini. Kule ambako Nina uhakika siku ya uchaguzi wakionyeshwa noti ya 10,000 watajipata tayari kwa foleni tayari Kwa kupiga kura. Isije ikawa NRNE inabamba kwenye miji peke yake. CDM fanyeni jambo na vijijini waelewe somo.
 
Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!

Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.

Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.

Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.

Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election

Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!

Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
Hiko wazi na hakuna mchezo kabisa atuwezi kuwa na taifa la kutekana hapana kabisa mkoloni mweusi must nje kabisa
No reforms no election 2025⚒️💯
Tutakuwepo 😎
 
Back
Top Bottom