No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Hakuna cha 4R

Hakuna cha miradi

Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi.

Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
 
20250612_190153.jpg
 
Ukiona mtu hataki Reforms basi elewa unaongea na pandikizi la wahuni ndani ya CCM.

Polepole endelea kuchokea kuni mbichi - washaanza kukohoa..macho mekunduuu - lazima wachomoke shimoni kutafuta oxygen
 
Asante TAL hakika wewe ni mwana wa atanganyika ujuo wako malaghai yote yameungana na bado yamechanganyikiwa hayajui chakufanya

No reform No Election
 
Hakuna cha 4R

Hakuna cha miradi

Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi.

Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
Badala ya 4R siku hizi kuna 4K
IMG-20250609-WA0000.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom