Ni raia aisee. Nimejaribu kusoma hadi profile zao ni raia wamejichokea tuYaani nimeona nimejiuliza ni system inatuma hizo msg au ni watu
Aisew naanza kuamini hizi janja janja za kina Diamond kaoa, sijui tutasikia kituko kingine soon.safari hii tunao hii ni 2025 si0 1988
Gentleman,Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? 🤔
Ni kweli wananchi wameelewa Hiyo kampeni ?
Ni kweli watu hawatashuiriki Uchaguzi Mkuu?
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC wataendelea kuandaa Uchaguzi ama watajaribu kutazama idadi ya watakaoshiriki Michakato ya Uchaguzi?
Bado najiuliza ... Na wewe jaribu kupitia post za huko Instagram na soma comments ikiwa post inahusu masuala ya kisiasa ama uongozi /Utawala comments zitajadili ikiwa hakihusu basi kutakuwa na comments nyingi za No reform No Election
no reform no elections ni agenda nonsense ya kilofa sana gentleman 🐒Nikiona mtu anaita wengine mropokaji mara nyani 🚮
😀😀Gentleman,
kwamba heche mropokaji wa chadema anaweza kumzuia kigaila wa CHAUMA asipige kura, right?🐒
Gerson Msigwa amefunga comments kwenye post zake 🤔Mfano hii post ya Mwiguli..
View attachment 3358301
Kwa bahati mbaya au nzuri, uyo Balozi si anaitwa Tone eti raia wanasema Tone Tone
View attachment 3358303
Tuambie Sasa Ajenda Hiyo Ambayo Si Nanisensi Na Ya Kilofa Jetromeni...???no reform no elections ni agenda nonsense ya kilofa sana gentleman 🐒