Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Ni miaka mingi kumekuwa na kilio cha kufanyiwa mabadiliko ya tume ya uchaguzi ila mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema kama chama cha upinzani chini ya mwenyekiti freeman mbowe kwa pamoja waliazimia kuwe na mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi na wakaja na no reform no election
Tundu lisu alivyoshinda uenyekiti wa chadema akaweka msisitizo wa no reform no election
Mchungaji gwajima naye akaja na pendekezo kwamba yafanyike mabadiliko madogo ndo ufanyike uchaguzi
Maoni yapo mengi ila huu ndo mtizamo wangu
👇👇👇👇
No reform no election lazima iangukie kwenye maeneo mawili
Kwanini nasema hivyo
Katiba ya mwaka 1977 ndo inayo-define structure ya hii tume ya uchaguzi ambayo inalalamikiwa, kwa hiyo mabadiliko yeyote mfano kuondoa mamlaka ya Rais kuchagua viongozi wa tume ya uchaguzi lazima yawe-reflected kwenye katiba ya nchi ya mwaka 1977 au katiba mpya
NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAFANYA MABADILIKO YAFUATAYO YA TUME YA UCHAGUZI

- Katiba ya mwaka 1977 ifanyiwe marekebisho (amendment)
- Kuwe na katiba mpya
Kwanini nasema hivyo
Katiba ya mwaka 1977 ndo inayo-define structure ya hii tume ya uchaguzi ambayo inalalamikiwa, kwa hiyo mabadiliko yeyote mfano kuondoa mamlaka ya Rais kuchagua viongozi wa tume ya uchaguzi lazima yawe-reflected kwenye katiba ya nchi ya mwaka 1977 au katiba mpya
NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAFANYA MABADILIKO YAFUATAYO YA TUME YA UCHAGUZI
- Mwenyekiti wa tume ya hatakuwa hachaguliwi na Rais
- Wajumbe wa tume ya uchaguzi watakuwa hawachaguliwi na Rais
- Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi atakuwa anachaguliwa na vyama vya siasa na wajumbe wake; vyama vya siasa vitakaa na vitaangalia namna ya kumchagua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
- Msajili wa vyama vya siasa atakua hachaguliwi na Rais bali na vyama vya siasa