No reform no election inagusa kila mtu

No reform no election inagusa kila mtu

Unitman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
665
Reaction score
956
Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara.

Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa kuona kama taifa tumeshindwa kukarabati uwanja wa mkapa unakataaje ajenda ya no reforms no election?

Sasa naomba mwarabu atupige chuma 8 akili itusogelee kusifia ujingaa na mimi sintoangalia hii game kwenye kisiwa cha Zanzibar nina hasira mpaka nalia tunazidiwa na kisiwa.
 
Kila nikisikia No Reforms No Election. Nakumbuka movie ya Sarafina.
 
Leo kamanda amejizolea umaarufu hadi CPA alitamani angekuwa yeye
 
Back
Top Bottom