4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,319
- 12,999
Wakuu amani ya Mungu ikawe juu yenu na kila mmoja kwa Imani yake.
Mungu ananiambia ,akili yenu yote mmejikita namna ya kutoka kwenye hili la no reform no election.
Sasa Mungu anawambia wazi mipango yenu ya giza au ya kheri ipo wazi , na rada ya Mungu ipo popote pale mpangapo maovu juu ya hili.
Mtashindana ila hamtaweza asema Bwana , mabaya yote mpangayo kama yapo yatawapukutisha kama mabua kwenye moto , (kauli ya Mungu inasema)
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Reforms lazima na sio ombi kabla ya uchaguzi , Damu ambazo zimemwagika bila hatia zinaililia nchi , Dunia ,ndugu zao ,wake zao , watoto wao na hii yote siasa ,uchaguzi.
Mnaodhani mnaenda kwenye uchaguzi bila reforms, na maridhiano ya kitaifa mwakesha bure ,asema Bwana.
Hila ,dhulma kwa watu wake Mungu ndani ya Taifa hili ,acha mara moja ,gharika kuu yaja juu yenu ,Bwana ananena kwa sauti kuu,
Mwisho, na thanks