No..! Noo...! Noooo....!!!!

Huyo mtoto ameanza kujua umuhimu wa huyo mnyama
 
Mtoto hata ukimwekia kinyesi na nyembe atachezea maana huvipenda sembuse huyo kanguruwe
 
Sio afya kabisa huyo mdudu anakula kila aina ya uchafu, mdomo wake umejaa bacteria na virusi tupu, anaweza akasababisha mtoto akapata ugonjwa mbaya kabisa
 
Nilijua umeweka mambo haya, kichwa cha habari kiliniwahisha haraka sana


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…