SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 825
hakuna kiongozi a kuvaa kiatu cha kiongozi huyu
Hakuna kiongozi a kuvaa kiatu cha kiongozi huyu
Tuulizeni sisi tuliokuwepo. Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya sana.
1. Mwaka 1964 aliwaondoa wana mapinduzi wa Zanzibar na kumpa mshenzi ambaye hata mapinduzi hakushiriki.
2.Mwaka 1964 aliokolewa na Oscar Kambona wakati maji yamefika shingoni, na ilipofika 1967, akamwangamiza
3.Alimwonea Mwamwindi kwa kumtetea Kreluu aliye fumaniwa akiwa na mke wa mtu
yako mengi sana, acha tusiseme tu.

labda angesema ccm ndio hamna lakini tanzania wapo sana hata kama sio chadema wapo weeeeengi ni fursa yu hawajapewa.wapo sema hatujaamua kuwapa nafasi waongozee..wapo wengi sana!!!