No more classified information

Kama huna mtu juu wa kukuweka kwenye system basi kuonekana au kupanda kule juu itahitaji ukubalike kiukweli kweli na kila mwanangu.
Mie nimeelewa hivo sijui na hapa nimechemka au nimeeleweka. ...
 
St. Kayumba sijaelewa kabisa

Nahitaji kahawa kwanza niweze amka!! Sielewi

Dictionary hapa inahusika,
Duniani hakuna kitu kinaitwa siri ya wawili bali kuna kitu kinaitwa CLASSIFIED INFORMATION yaani ni habari maalum kwa watu maalum na kwa watu maalum. ..ukishapita ule wakati maalum ile habari inakuwa sio classified tena yaani sasa inaweza kujulikana kwa wote na isiwe na madhara yoyote kulingana na wakati
 
Reactions: ydn
Ok! thanks. nimekupata Mkuu
 
Kuna ushahidi zaidi ya hizi picha?!

Link?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…