Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,448
- 4,477
- Thread starter
- #201
Ikitokea ukadumu kwenye ndoa naomba urudi hapa 2028 unitukane matusi yote unayoyajua nimekuruhusu.Mwaka huu namuomba sana Allah afanye wepes nipate mke wangu na nianze maisha ya kuitwa mume bila kujali changamoto ambazo Kila siku zipo tuuh hata ukaoe mzungu naye hayakuwa na zake
Tunaoa hatuogopi maneno ya wakosajii
Ila vitu ambavyo nakuhakikishia;
1.Demu utakayemuoa sio bikra
2.Ndani ya mwaka utagongewa
3.Kwa staili ya uandishi wako hujui kusua K.
4.Unachances kubwa za kujiua kwasababu ya kugongewa
Ushauri; Ndoa haikufai.KATAA NDOA,MAISHA MAZURI NI ZAIDI YA NDOA!!!