Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
Kwanza mimi si mwanamke hapo inaonyesha wazi hujui mimi ni nani.Wewe unaonekana kichwani kuna matatizo. Mada inasema Rwanda inaweza kuwapiga Hamas na inaweza kuisaidia Israel. Sasa haya yako ya kukomaa na JWTZ yametoka wapi? Au JWTZ walikuibia mumeo?. Ukitaka mjadala wa JW. fungua uzi wa mada hiyo watu tukutoe matongotongo kidogo kuhusu uwezo wa JW. Maana toka ufundishwe humu humu Jf jinsi ya ku quote links na vi u tube imekua nongwa. Jambo halihusiki,unajaza vi links na vi u tube vyako tu.
Pili nilikuwa nasema Rwanda hawezi kufanya kitu, sio yeye hata afrika mashariki yote hawamuwezi Hamas.
Haya niambie JWTZ lina kitu gani ambacho kinaweza kuwapa ushindi kwa Hamas, silaha zao zero, experiance ya vita zero we unadhani kujua kuongea sana ndio kutawapa ushindi, nimesema JWTZ kivita wako nyuma sana kwa Hamas sio wao tu, wajikusanye na Africa mashariki yote. Hawataweza kumpiga Hamas.
Tube ni dalili za kuonyesha watu wako kazini, sa we tupe tube inayo onyesha JWTZ wanapigana vita kama wanazo pigana Hamas, afu utazame nani mwanaume.
We ndio kasome na ujue vita sio mdomo, wabongo nyie ni mdomo mwingi tu hakuna uwezo wa kijeshi mnao zaidi ya kupigana na vi nchi jiran ambavyo ni lala hoi hata ki group cha somali, kinawato makasi nchi za Africa, mpaa mmekusanya majeshi ya nchi kumi na hamkukiweza.
Sa ndio mtawaweza Hamas, hivi we uko sawa kweli.
Wajinga kama nyie ndio mnaamini Tanzania kuna Jeshi, yes mnajeshi lakupiga gwarede na kupigana na nchi kama Malawi au Rwanda kwa sasa, hata Uganda anaweza kuwatoa makamasi sa ndio mkapigane na Hamas hahaha.
BTW ukweli huwa unauma sana siku zote na hamuwezi kuzuia ukweli, kama mnaota mna jeshi ka kupigana na Hamas, basi mmelala sana..