"no free nec no democracy"

R

Rogers_ic

Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
0
R

Rogers_ic

Member
Joined Nov 7, 2010
51 0 0
Nimekuwa najiuliza, kwa nini tume ya uchaguzi isiandaliwe kikatiba mazingira huru kutoka vyombo vyovyote vya serikali, yaani serikali inatenga bajeti nayo tume anajipanga kwa kutanua elimu ya kupiga kura kwa raia na kuandaa mazingira bora ya uchaguzi. naona badala yake tume inazidi kujitetea kwa lawama mbalimbali zilizojitokeza, si dhani hili la tume huru ni la kisiasa bali msingi wa democracy, sioni msingi kwa ndugu zangu wa tanzania kuumizana au kuuana kwa kutangaziwa matokeo wasiyo tegemea, ila ninge wasihi viongozi wa siasa na watanzania wote bila kujali chama tuungane kwa hoja hii, NI BORA KUPIGANIA TUME HURU, KULIKO KUPIGANIA MATOKEO.

wanaJF mnasemaje?
 
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
2,274
Likes
13
Points
0
Luteni

Luteni

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
2,274 13 0
TAKUKURU nayo si ni tume huru.
 
C.K

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
389
Likes
37
Points
45
C.K

C.K

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
389 37 45
Unafikiri tume hiyo iwe na muundo gani au iendeshweje ili iwe huru?
 
lm317

lm317

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
452
Likes
1
Points
0
lm317

lm317

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
452 1 0
Nimekuwa najiuliza, kwa nini tume ya uchaguzi isiandaliwe kikatiba mazingira huru kutoka vyombo vyovyote vya serikali, yaani serikali inatenga bajeti nayo tume anajipanga kwa kutanua elimu ya kupiga kura kwa raia na kuandaa mazingira bora ya uchaguzi. naona badala yake tume inazidi kujitetea kwa lawama mbalimbali zilizojitokeza, si dhani hili la tume huru ni la kisiasa bali msingi wa democracy, sioni msingi kwa ndugu zangu wa tanzania kuumizana au kuuana kwa kutangaziwa matokeo wasiyo tegemea, ila ninge wasihi viongozi wa siasa na watanzania wote bila kujali chama tuungane kwa hoja hii, NI BORA KUPIGANIA TUME HURU, KULIKO KUPIGANIA MATOKEO.

wanaJF mnasemaje?
UWT nao wawaacha vipi ?
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,390
Likes
464
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,390 464 180
Ivi unaposema tume huru huwa nawaza compostion ya iyo tume kama ni watanzania hawa hawa mtu anaweza aidiwa trillion akachakachua mbele ya uraisi.
I need to get the experience from other countriestume huru zao zinakuwaje?
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,673
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,673 280
Unafikiri tume hiyo iwe na muundo gani au iendeshweje ili iwe huru?
Tume huru aiwezi jengwa na serikali iliyoko madarakani especially kwa serikali za kiafrica. Haya ni matatizo aliyo yatengeneza Mwalimu wenu JKN, kwa ajili ya kulinda uongozi wake leo ndio yanawaletea matatizo mkidhani ni CCM ndio yenye final say in our democracy.

Hivi vitu vinatakiwa kuwa challenged katika mahakama, ni chombo ambacho so far Rev.Mtikila anakitumia (ingawa ni mwendawazimu fulani in my opinion), ilitakiwa kitu cha kwanza upinzani ambao aujarizikia uorodhoshe sababu za udhaifu wa NEC, kupitimia matatizo waliyo yaona baada ya uchaguzi uliopita.

Mtu mmoja awezi kuwa na nguvu za ajabu katika demokrasia ya taifa yeye ni nani kuchakachua maamuzi by remote control, kwa kuwa sheria imempa nguvu ya uteuzi wa vyombo hivi. Yeye awe mteule wa viongozi wa vyombo hivi wakati vilitakiwa kuwa independent bodies, tunahitaji wasomi wa political science kuweza kuja na katiba mpya independently na si CCM ichague nani awe katika hiyo team. Na mwisho wa siku viongozi wachaguliwe kupitia academic achievement voted by scholars.

Serikali isiwe na mkono wowote katika hii timu wala veto yeyote. Kitakachopendekezwa kipitipitiwe na maloya wa vyama vyote wakubaliane na wao wawe na sauti ya makubaliano na katiba hili kuakikisha kuna usawa.

Ingawa mimi sio expert huko lakini NEC haiwezi kuwa ni chombo cha serikali bali chombo ambacho kiko independent na rahisi ateui mtu huko na viongozi watafutiwe namna ya kupatikana bila ya mkono wa central gov next stop the court of law. Coming to think of it lazima kuhakikisha mkono wa central gov pia huko aupo.
 
Forum statistics

Threads 1,236,524
Members 475,191
Posts 29,260,785