Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,191 Jul 7, 2014 #2 englibertm said: Click to expand... Hakuna linalofaa, yote mabaya tumbili na mwizi. No no heri kuwa tumbili kuliko kuwa mwizi. Tiba
englibertm said: Click to expand... Hakuna linalofaa, yote mabaya tumbili na mwizi. No no heri kuwa tumbili kuliko kuwa mwizi. Tiba
daman JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 210 Reaction score 160 Jul 7, 2014 #3 swali gumu, nadhani hata ndoto yenyewe itafifia ukiwa unatafakari jibu kati ya hayo mawili.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jul 7, 2014 #4 Tiba said: Hakuna linalofaa, yote mabaya tumbili na mwizi. No no heri kuwa tumbili kuliko kuwa mwizi. Tiba Click to expand... tumbili naye anaishi kwa kulakula vitu vya wizi mie sitaki kabisa lol!hahahaaaaaaaaaa
Tiba said: Hakuna linalofaa, yote mabaya tumbili na mwizi. No no heri kuwa tumbili kuliko kuwa mwizi. Tiba Click to expand... tumbili naye anaishi kwa kulakula vitu vya wizi mie sitaki kabisa lol!hahahaaaaaaaaaa