Tusiwe na mawazo ya kukata tamaa kila mara. Cha ajabu nini hapo? It simply takes one person imagination kuwa na kitu kama hiki..Essentially mtu alifikiria namna ya kupunguza uchafu....sasa imagine..bongo uweke kitu kama hiki...they call it recycling..kila chupa anayorudisha anapewa shilingi tano (mf.)..trust me you..we can get far..Jamani ndo fursa zenyewe hizi..watu tujishughulishe kwa kufikiria sio kukaa na kulaumu tuu...
The world..everyhwere..is full of opportunities..ila wengine tunaona obstacles tuu...
Masanja