No comment

الأطباء في RAO HTC



الأطباء في RAO HTC






Ilo group lilikuwa Maalum kwa wanafunzi wanaochukua udaktar ktk chuo cha RAO.

Ila kwa sasa yoyote ktk waislaam awe JOIN ktk iyo group kupitia iyo link.

بارك الله فيكم
 
Akikamatwa na kufunguliwa kesi utasikia malalamiko ya watu eti polisi wamemuonea mbona mafisadi hawakamatwi.
 
Akipigwa cha elfu30,000 na kunyanganywa leseni anaanza kusema majirani wamemloga kwa kuwa anamililiki boda boda...
Hamna anasema Mzee wa magogoni muonevu bora,nchi ingechukuliwa na mfugaji,basi MTU unajiuliza sijui nyumbu mambo ya hivyo huwa ni kadi yao
 
Ngoja nikutane nae lazima atoe kitu kidogo....Hawezi weka antenna ya Tv kwenye boda boda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…