yeah Museveni has done it again, kuondoa shari ageaachia madaraka kama rawlings wa ghana.Huyu jamaa kwa jinsi alivyowachanganya hasa wa kabila la Buganda yaani wanamchukia vibaya sana.Kuna mganda alikuwa ananiambia kwamba usione amani Uganda- watu wametulia tu,ila muda wowote mlipuko utatokea, na wakulaumiwa ni MUseveni.