Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 472
Hakuna complications zozote ambazo naeza kumbana nazo????1. Hard disk inawezekano mkubwa imeshakufaa. Ugonjwa mkubwa ni kuiangushaaaa
2. Unaweza run live Cd kwa Os zote za Linux. Na ukatumia kama kawaidaaaa.
3. Inawezekana kutumia Harf disk yeyote iliyo nzima na kuitumia katika computer yako.
Hard drive mpya zinauzwa vp???Huna hard drive hapo mkuu
Na pia kama hard drive ina window tofauti na ile nlokua natumia pia haina complications??????........na kuweka hard disk mpya i mean from another pc nn naeza kutana nacho kama warning1. Hard disk inawezekano mkubwa imeshakufaa. Ugonjwa mkubwa ni kuiangushaaaa
2. Unaweza run live Cd kwa Os zote za Linux. Na ukatumia kama kawaidaaaa.
3. Inawezekana kutumia Harf disk yeyote iliyo nzima na kuitumia katika computer yako.
Hiyo hard disk lazima ufanye installation ya windows tenaa.Na pia kama hard drive ina window tofauti na ile nlokua natumia pia haina complications??????........na kuweka hard disk mpya i mean from another pc nn naeza kutana nacho kama warning
Nashukuru mkuu.... Ko na specifications za kuangalia c ni internal memory core yake ram.... Kuna kingine muhimu cha kuangalia???? Na endapo nkaweka tofautu pc inaeza kufa kabisa?Hiyo hard disk lazima ufanye installation ya windows tenaa.
Windows ina operate kuwiana na Hardware zilizopo kwenye mashine yako.
NB!:
Pc pekee zenye same specification zitafanya kazi kama utahamisha Hard disk moja kwenda nyingine. Bila hivyo utaanza pata Blue screen of Death.
Habari wana jamii..... Nina tatizo hapa wiki iliyopita pc yangu ilikua nikiiwasha inaandika no bootable device nikaweka fresh hard disk ikawaka sasa wakati nafunga bahati mbaya ile hard disk ikaanguka nilipoichukua kuiweka pc ilikua inaandika acer basi hakuna kinachoendelea.... Na baadae ikaandika no bootable device mpk leo hii.... Msaada hapa
1.kama hard disk imekufa mpya naweza kuipata kwa bei kiasi gani
2..inawezekana ku run pc bila hard disk kwa kutumia cd au usb flash yenye necessary programmes
3...inawezekana kuchukua hard disk kutoka kwenye pc isiyotumika na kuitumia mm kama yes how na complications gani naeza kutana nazo????
Msaada wenu wakuu unahitajika
Asante mkuu nashukuru...... Na ni lazima hdd nnayoinunua ilingane na specifications za pc yangu.... Au naeA nunua yoyote ile as long as it is 2.5 for laptop1. hard disk unapata as cheap as 100,000 kwa terabyte na jinsi inavyoshuka na ukubwa unashuka zipo hdd hadi 20,000 used
2.windows yenyewe inataka kama gb 10 hadi 20, ki theory unaweza run ila kwa practical ni ngumu sana hasa ukiangalia speed za flash.
3. unaweza toa hdd toka mashine nyengine ndio ila angalia mambo haya
-kuna hdd za sata na ide inabidi ujue yako ni ipi
-zipo hdd za inch 2.5 na za inch 3.5 inabidi pia ujue yako ni ukubwa upi. pia unaweza ukataja pc yako na pc unayotaka kutoa uone kama zinafanana. hizo za 2.5 mara nyingi ni za laptop na za 3.5 mara nyingi ni desktop
unanunua yoyote tu mkuu sio lazima iwe sawa na specs za laptop yako. ila hilo la ide na sata kuwa makini. laptop karibia zote za sasa ni sata ila zipo za zamani ambazo ni ideAsante mkuu nashukuru...... Na ni lazima hdd nnayoinunua ilingane na specifications za pc yangu.... Au naeA nunua yoyote ile as long as it is 2.5 for laptop
inategemea imekufaje kuna situation vinapatikana na situation nyengine havipatikani.Na je vitu vya kwenye hard disc iliyokufa haiwezekani kuvipata?
Ghafla tu imekufa Mkuu.nielekeze namna ya kuangalia ilinijue naweza pata au sivipati .inauma sanainategemea imekufaje kuna situation vinapatikana na situation nyengine havipatikani.