No body is wearing a helmet, why!

du, nimependa hizo piki piki, za ukweli.
 
Wanadamu tulipofikia mmmmh Mungu pekee anajua
 
Ntamwomba baba aninunulie na mimi pikipiki nikiwa mkubwa...lol
 
Hivi kuna mtu amezitafute helmet?

Naona vile kama macho yanavutwa kwenye aina nyingine ya helmet...lol!!
 
ngoja niende nikawe dereva wa bodaboda huko ...
 
Ama kweli cha mtu mavi yaani kwa raha zao na kwa kujinafas bila kinyongo na raha zao za dunia na bila ya woga wa matrafik
 
Watu wanapata ajali kwa kuvutiwa kuangalia warembo, walio nusu uchi.
Pamoja na kupetipetiwa na abiria hao wa kike.

Helmet siyo kigezo cha kuzuia ajali isitokee. Helmet itasaidia tu mtu asipasue fuvu lake.
 
nivae helmet ili nisione warembo??? hata mimi nisingevaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…