We ndo semaji la serikali? Au semaji la sa100?
Nilini hii nchi watu watajua haki za watu nimuhimu kuliko siasa zahovyo,na uroho wa madaraka...
Haki ilocheleweshwa ni haki ilonyimwa. Serikali inafanya kazi Kwa barua Sasa tuoneshe iyo barua yenye maelezo Yako ama tukuite kama Chawa wamazer (uchawa mwisho miaka 40).
Kiufupi unatibiwa na madokta wanaonyimwa haki,watoto wanafundishwa na walimu wanyonge walonyimwa haki,wakezetu wanazalishwa na manesi wanaodhulumiwa nk. nk.
This Country is SICK!!!