Nmueleweje huyu mwanamke

wewe ni mwanaume mkuu jiamini, mwanamke ndio anapaswa awe anakusumbua kuwa utampeleka lini kwenu? sio ww kumfuatafuata na kuonekana unahitaji ndoa kwa udi na uvumba, acha kumpa kick huyo mwanamke kwanzia sasahivi ww potezea habari ya kumpeleka kwenu ww kaa kimya, mda ukifika atajitambua mwenyewe.
 
Kuna kitu kimejificha hapa ila muombe Mungu kwa bidii naye atakuonyesha makuu usiyoyajua.
 
be a man hamna tatizo hapo hapa utakorogwa akili tuuuu. halafu unatia aibu kulalamika umeombwa nauli ewwhhh eti unaelezea indetail anafanya kazi halafu anaomba nauli! kwahiyo napete ya uchumba itabidi anunue kwa sababu ana mshahara sio??
 
Kwann ASIWE COMFORTABLE kuwaona wazazi????mi naona suala la kutambulishwa kwa wazazi ni heshima ya mwanzo kabisa kabla ya ndoa
...kama hataki tambulishwa kwenu kwa sasa basi hakufai na wewe usijitambulishe kwao....hyu bdo hajawa desperate ndo maana pozi nyingi ana umri gni mkuu??
 
bout 28 mkuu and she's 25
 
bout 28 mkuu and she's 25
Bas ndo maana hayuko desperate...ila kaka na wewe usiwe desperate sana bdo ni mdg kwa 28...mie nna 35 now na bdo najisogeza tu...usioe tu kwakua fulani kaoa...au pressure...oa kwakua umepata wa kumuoa na hakupi mizengwee ya ajab ajab kama hyu...hyu nenda nae taratibu ila suala la kumtambulisha usiliruke maana hta wazaz wako watakushangaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…