nmekua desperate mkuu..mambo ya kuingia ndoani halafu ndo uanze kusimulia kuomba ushauri juu ya mkeo inaonesha udhaifu wako maradufu.Haaa hàa, wewe ni mtu mwema sana na unashida halisi, isipokuwa umeweka shida zako hadharani. Mimi nina manne tuu :
1. Mwanamke asikutishe, bali akupe sababu, uzisikilize kwa makini, pengine ni za muhimu.
2. Kwenda kwao kwanza si dalili ya weakness kwa upande wako na wala si ubinafsi kwa upande wake. Cha muhimu ni sababu.
3. Fanya utafiti ujiridhishe kama hii kitu ni wife material, au mission town.
4. Be strong and firm ukifanya utafiti, shikilia maamuzi hata kama ni magumu. Watoto wa kike hawaishi asikudanganye mtu, tena kama unakadegree kamoja, piga chini, kasome, halafu utakuja kuniambia.
Hahaha nimechekaaaaa. Mwingine hapo angejitolea hadi nauli mwenyeweAma kweli penye miti hamna wajenzi thread closed
Maadili yapi hayo unayoyaongelea? Kiutaratibu kabisa mwanaume lazima akupeleke kwao kukutambulisha, wakisharidhia ndo mnaenda na upande wa mwanamke kutambulishana na kuanza michakato ya ndoa. Hatua waliyofikia si ya kwao wawili tu, ni ya familia zote mbele. Yani anataka mwanaume akatoe posa kwao bila ya wazazi kushirikishwa kuanzia mwanzoni? Jamani baraka za wazazi ni za muhimu mnoooHuyu dada anapoint ....kwa binti mwenye maadil huwez msafirisha hadi kwenu mtu hujajitambulisha. Ndo maana anaona ugumu kufanya hilo jambo only tuu ndugu zako wa muone wa mtathimin .... kama anavigezo ndo wakupe go ahead umuoe... chaaaaa.. . Inaonekana binti hayupo desperate bado... u need the one desperate kuolewa ndo utahis anakufaaa.
Hahahaaa yaani acha mpendwa na pengine angegharamia hadi ya mwenzi wake....Hahaha nimechekaaaaa. Mwingine hapo angejitolea hadi nauli mwenyewe
Bora umenisaidia kumjibu...mm nilinyamaza kwa kuwa niliona hajaelewaaa ingawa kafanya conclusion kama ameelewaMaadili yapi hayo unayoyaongelea? Kiutaratibu kabisa mwanaume lazima akupeleke kwao kukutambulisha, wakisharidhia ndo mnaenda na upande wa mwanamke kutambulishana na kuanza michakato ya ndoa. Hatua waliyofikia si ya kwao wawili tu, ni ya familia zote mbele. Yani anataka mwanaume akatoe posa kwao bila ya wazazi kushirikishwa kuanzia mwanzoni? Jamani baraka za wazazi ni za muhimu mnooo
Aaah yani anabembelezwa akatambulishwe mmh. Kuna watu hadi harusi wanagharamia mweeeHahahaaa yaani acha mpendwa na pengine angegharamia hadi ya mwenzi wake....
Mbona umeshtuka mkuu hahahaa
Mmh Sijui labda maadili yanatofautiana kwetu na kwaoBora umenisaidia kumjibu...mm nilinyamaza kwa kuwa niliona hajaelewaaa ingawa kafanya conclusion kama ameelewa
Uzuri siku hazigandi namuhesabia miaka michache ataanza kuzunguka kwa mitume na manabii tehe teje teheAaah yani anabembelezwa akatambulishwe mmh. Kuna watu hadi harusi wanagharamia mweee
Hahaha anaweza tu akampata mtu sahihi tena, Mungu sio sisi mwee. Ila mtu mwenye interest ya ndoa sidhani kama angekuwa na excuse kama hizi. Sio kama anatakiwa kuwa desperate but as long as mmekubaliana kitu fulani, mapozi ya nini tena?Uzuri siku hazigandi namuhesabia miaka michache ataanza kuzunguka kwa mitume na manabii tehe teje tehe
wazo kubwa Na lililotawala kichwa changu n kuwa MAY BE AM JUS A PLAN B..PLAN A IPOOO LABDA HAIELEWEKIHahaha anaweza tu akampata mtu sahihi tena, Mungu sio sisi mwee. Ila mtu mwenye interest ya ndoa sidhani kama angekuwa na excuse kama hizi. Sio kama anatakiwa kuwa desperate but as long as mmekubaliana kitu fulani, mapozi ya nini tena?
Asikusumbue kichwa kaka angu yawezekana aalikufanya plan Bnashangaaa tu kwa kuwa sasa napata mawazo ya nyie wanawake
Mmh naomba usiconclude hivyo kwanza, for the last time Mtafute ongea naye. Muulize tu "unataka ndoa au hutaki " full stop. Labda ana maelezo tusiyoyajuawazo kubwa Na lililotawala kichwa changu n kuwa MAY BE A JUS A PLAN B..PLAN A IPOOO LABDA HAIELEWEKI
Ama kweli ingawa waswahili wanasema pema usijapo pema ukipema si pema tenaHahaha anaweza tu akampata mtu sahihi tena, Mungu sio sisi mwee. Ila mtu mwenye interest ya ndoa sidhani kama angekuwa na excuse kama hizi. Sio kama anatakiwa kuwa desperate but as long as mmekubaliana kitu fulani, mapozi ya nini tena?