nmepata dv 3 ya 25 mnanishauli nfanye nn

nmepata dv 3 ya 25 mnanishauli nfanye nn

Form
nmepata D ya chem, hst, phy, math, geo, na C ya bio, civ, ksw, na eng mnanishauli niende chuo gan au four five naweza kwenda,?
Form five unaenda ila private sidhani kama serikali inaweza kukupangia shule .Ukienda advance chaguo combination rahisi utakayo imudu
#Nenda advance kapambane
 
Nenda Advance
Acha Kuangaika
Kasome H.K.L
Piga Single Digit
Apply Law- UDSM
Biachara CBE
 
mkuu tafuta chuo mapema sana. me mwenyewe nili pata 3,ya 24 mwaka 2016 lakin hata third selection sikuwepo hivyo bas tafuta chuo mapema sana au tafuta shule ya private
 
Male

Div III ya 22

CIV - 'C'
HIST - 'C'
GEO - 'D'
PHY EDU - 'C'
KISW - 'D'
ENGL - 'C'
PHY - 'D'
CHEM - 'C'
BIO - 'C'
B/MATH - 'F

Wakuu je huyu anaweza chaguliwa form five ya serikalii...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG-20190220-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom