nmepata dv 3 ya 25 mnanishauli nfanye nn

devisdevis

Member
Joined
Feb 6, 2019
Posts
8
Reaction score
1
nmepata D ya chem, hst, phy, math, geo, na C ya bio, civ, ksw, na eng mnanishauli niende chuo gan au four five naweza kwenda,?
 
Kama wewe ni ke unaweza ukaenda 2nd selection advance.
Kama ni me pole sana wewe kwenda advance ni maajabu ya dunia.
 
ahsante kwa ushauli wako bro je chuo naweza kusomea nn kwa izo alama
 
Una kwenda government mwisho division 3 point 25
Combination hazija balance vizuri kwaiyo asitegemee sana government labda itokee tu apo ajiandae na private labda!!! Lakini kwa ufaulu wake mtoto wa kike hapo anachukuliwa vizuri tu
 
B 1 Na C 3 division 3 point 24 anakwenda bila tabu
 
Back
Top Bottom