nmepanda akamba bus ya kenya toka dar tupo abiria 7

nmepanda akamba bus ya kenya toka dar tupo abiria 7

Ni kawaida hasa kwa Robo ya Kwanza ya Mwaka biashara huwa ziko chini sana. Itakapofika April mpaka Desember kila kitu kibiashara hubadilika.
 
Hiyo ni cross boarder Daladala, niliipanda toka Nairobi kwenda Mwanza nilijuta, jamaa wanapakia abiria njiani kuliko daladala za mbagala mizigo ndo usiseme.

Mzushi ww. Hyo c akamba. Kama daladala????.haya ni mabasi ambayo hata watoto unawakatia seat
 
sio huko tu mi nilimleta mgonjwa dar toka songea na ndege tulikua abiria 2 nikajiuliza huyu mgonjwa km angekua na uwezo wa kuhimili safari ya bus inamaana ndege ingeenda na abiria 1 tu.
 
watu wameacha kupanda akamba mabus yao machafu wanashindwa ata kusafisha,pia mabovu,wahudumu wana lugha mbaya sana
 
ha ha ha ....wastage of resources man..au kupeleka abiria kampala sio lazima, lazima ni kurudi na abiria? labda kuna abiria wengine watachukuliwa kuanzia moshi na arusha?
mimi tumeshawahi kupanda wa 4 mimi dereva wawili na konda
 
Back
Top Bottom