Nmeipenda Picha ya Mkapa akimnadi Magufuli kwenye ubunge wa Chato

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,410
38,702
Magufuli!!.jpg

Picha hii iliyopigwa wakati Mkapa anamnadi Magufuli imenifurahisha sana hasa Koti alilovaa magufuli. Asante sana idawa kwa kuleta picha hii!!
 
Mnafiki tu huyo mkuu, asikubabaishe.
Mwambie akamsifie yule jamaa yao wa moyoni..
Tatizo lako wewe hupendi urafiki na ndiyo maana kwenye "signature" yako umeandika "Friendless" na hata njiwa asikuamini kwa kuwa huna tabia ya kuwa na marafiki!!
 
Nitake radhi mkuu siko CCM na sijwahi kuwa Mwana CCM, ila tu nilipishana na Lowasa mlangoni yeye anaingia na genge lake mimi natoka na msimamo wangu.

Nilikataa kugeuzwa Nyumbu.!
Tupo wengi
 
Back
Top Bottom