Nmechaguliwa SAUT MTWARA

Nmechaguliwa SAUT MTWARA

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Habarin wadau nmechaguliwa saut mtwara na sipo multiple je naweza kuomba round ya 3 hii ni kutoka na hali yangu kiuchum na umbali mi natoka tarime mara niliomba vyuo 3 UDOM NA RUCO lkn hawajanichukua
 
Ilikuwaje ukakiweka kwenye list yako wakati unajua kabisa autaki kwenda huko. Mara nyingine unatakiwa kuwa makini sana kwenye choice ya vyuo kwakuwa ukikosea tu unakukosti. Ushaur wangu angalia uwezekano wa sehem nyingine au wew nenda huko alafu badae ukifika chuo fanya transfer uhame chuo kingine unachotaka.
 
Ulikiweka Kuwapima Imani
Mkuu kwema? Siku nyingi hatujaonana.

Samahani, kijana alikuwa amechaguliwa vyuo vinne, nikamshauri akitumiwa code a-confirm MWEKA, code number alisumbuka kuipata, alivyo piga simu Udom wakamsaidia kuipata, akawaonea huruma akaamua ku-confirm UDOM.
Nifanyaje ili aende MWEKA?
 
Akawaonea huruma UDOM?

Back
Top Bottom