ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,883 Reaction score 60,915 Jan 4, 2023 #1 Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 5,009 Reaction score 24,462 Jan 4, 2023 #2 ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Sawa, afisa masoko wa hovyo. Kwa nini iwe safari ya Dubai? Na siyo safari ya Mbuga zetu za wanyama ili kuchagiza ukuaji wa Sekta ya Utalii nchini?
ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Sawa, afisa masoko wa hovyo. Kwa nini iwe safari ya Dubai? Na siyo safari ya Mbuga zetu za wanyama ili kuchagiza ukuaji wa Sekta ya Utalii nchini?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,474 Reaction score 46,440 Jan 4, 2023 #3 Kumbe ni mfanyakazi wa benki.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,960 Jan 4, 2023 #4 Vishu Mtata said: Kumbe ni mfanyakazi wa benki. Click to expand... Tena wahovyo kuwahi tokea
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,960 Jan 4, 2023 #5 Restart said: Sawa, afisa masoko wa hovyo. Kwa nini iwe safari ya Dubai? Na siyo safari ya Mbuga zetu za wanyama ili kuchagiza ukuaji wa Sekta ya Utalii nchini? Click to expand... Sawasawa kabisa, why Dubai (wasione vyaelea), na tunaserengeti yetu na ngorongoro
Restart said: Sawa, afisa masoko wa hovyo. Kwa nini iwe safari ya Dubai? Na siyo safari ya Mbuga zetu za wanyama ili kuchagiza ukuaji wa Sekta ya Utalii nchini? Click to expand... Sawasawa kabisa, why Dubai (wasione vyaelea), na tunaserengeti yetu na ngorongoro
Bushmaster JF-Expert Member Joined Jan 18, 2022 Posts 662 Reaction score 1,475 Jan 4, 2023 #6 Waambie waache kutuma hilo limeseji,wengine dubai tunapoana kama kariakoo tu hapo,
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,680 Reaction score 16,700 Jan 4, 2023 #7 ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Mbona Ghafla hivi kwani, CCM wamekuchosha au wamekutosa?
ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Mbona Ghafla hivi kwani, CCM wamekuchosha au wamekutosa?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,007 Reaction score 27,083 Jan 4, 2023 #8 ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Uzi wa kujipatia madem
ndege JOHN said: Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai. [emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062] Click to expand... Uzi wa kujipatia madem