NMB yapandisha makato kwa wakopaji ambao ni watumishi wake

Tuwasadie kidogo ili muelewe!NMB wameshaongeza riba kwenye mikopo yao kwa watumishi wa umma.Taarifa wanazo afisa rasilimali watu katika eneo husika maana ndiyo wanaosaini mikopo kwa niaba ya mwajiri.Sasa,barua mnayoiona hapo inatoka kwa afisa rasilimali watu wa chuo kikuu cha sayansi na tekinolojia cha Mbeya akiwajulisha watumishi wa chuo hicho kuwa kuna hayo mabadiliko hivyo wajiandae kama wakitaka kukopa/ama kuongeza mkopo wao hapo NMB.
 
Back
Top Bottom