Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 77
Utakuwa balozi mzuri wa kufikisha meseji.jamani mie mwanichoma maana huko ndo wife anakopiga kazi atiiiii
CRDB hawahitaji udhamini wa serikali za mitaaHata hapo CRDB panaboa. Ikiwa serikali ya mtaa imekudhamini, una original goverment document kama vyeti vya kuzaliwa, wadhamini wawili wenye account crdb wa nini?
Nadhani inafika time hata hao staff wanachoka na hiyo misururu na kuona bora wateja waondoke tu ili wao wapumzike. Mimi nashangaa hiyo misururu inatokana na huduma mbovu? staff wachache? au nini?asante sana mkuu kwa kuiweka hii kero wazi,,unajua hiyo ni moja,,mimi nilikuwa nafikiri itakuwa hii ya misururu tu..kumbe kuna mengine!!! hawa jamaa mimi najiuliza hivi sababu ni nini?? kwamba pesa zimejaa?? au sisi wateja hatuna pakukimbilia pengine,jamani ule muda ninaopoteza kwenye fuleni yao huwa naahirisha mambo mengine yote...JAMANI MIMI KUFUNGUA ACCOUNT NMB tena itakuwa ndoto isiyotimia..nasikitika tu sikuzote...mfalme wa biashara siku zote ni mteja,,inakuwaje hawa jamaa!!!!!!!!!!!
Nadhani inafika time hata hao staff wanachoka na hiyo misururu na kuona bora wateja waondoke tu ili wao wapumzike. Mimi nashangaa hiyo misururu inatokana na huduma mbovu? staff wachache? au nini?