BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Kuna kazi ilitangazwa nafasi ya bank teller deadline ilikua last week, vipi kuna ambaye amepata any information kuhusu interview au kutumiwa email
Mbona deadline badoKuna kazi ilitangazwa nafasi ya bank teller deadline ilikua last week, vipi kuna ambaye amepata any information kuhusu interview au kutumiwa email
Sio ilikua jmosi mkuuMbona deadline bado
Najua mkuu mapema but kuna jamaa yang ametumiwa juzi email kua hajafanikiwa kupita kwenye recruitment process so inaelekea hata kuchambua applications naona tayari thus why i askedsasa jaman deadline last week saturday leo jnne tu iwe tayar
duh kama ni hvyo bas wenye taarifa watakupa majibuNajua mkuu mapema but kuna jamaa yang ametumiwa juzi email kua hajafanikiwa kupita kwenye recruitment process so inaelekea hata kuchambua applications naona tayari thus why i asked
Yeah ndo nawasubiriaduh kama ni hvyo bas wenye taarifa watakupa majibu
Poa poa mkuuYeah ndo nawasubiria
Mnnaita lini mkuuBado hatujaita.
Hyo katumiwa lini maana mm nimetumiwa ya kuitwa kama kuna MTU anajua MTU alietumiwa ya kuitwa aniambie plz
Na hii ni ya central zone ambayo tuliapply tangu July kwahyo hii ya system inachukua muda sana tofauti na ile ya kutuma bahasha ambayo ilikua ni ndani ya siku 14Hyo katumiwa lini maana mm nimetumiwa ya kuitwa kama kuna MTU anajua MTU alietumiwa ya kuitwa aniambie plz
Katumiwa tarehe 9 mwezi huu mpendwa kumbe umeitwa hongera mpendwaHyo katumiwa lini maana mm nimetumiwa ya kuitwa kama kuna MTU anajua MTU alietumiwa ya kuitwa aniambie plz