NMB Salary advance huduma haipatikani

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Habari wana JF ,

Kwa wale wanaotumia huduma ya kukopa kupitia mishahara yao kwa njia ya simu kwa sasa huduma hiyo ya Salary Advance kupitia benki ya NMB imesitishwa. Haijajulikana kwa muda au kwa kudumu.
 
Hamia bank nyingine madamu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom