NMB Salary Advance acheni wizi

pepo ya Mabwege

Senior Member
Joined
May 18, 2017
Posts
138
Reaction score
117
Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani?

Ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.


==============================================

 
Soma vigezo na mashariti.

Ingia www.nmbbank.co.tz

Kuna kurasa kama sita au saba za vigezo na mashariti ya huo mkopo.

Processing fee ni 6% ya kiwango cha mkopo unaochukua na hakuna charge nyingine zaidi ya hiyo.
 
Chambua vizuri mkuu onesha hiyo processing fee ni %ngapi?
Interest ni % ngapi ili tuchangie vizuri
 
Tusome vizuri kwenye hiki nimepeperushi chetu
Ahsante karibu nmb
 
Hujalazimishwa kukopa
 
Jirani yangu kavuta 40% jana
Iko vizuri. Watumishi mna raha awamu hii.
 
Jirani yangu kavuta 40% jana
Iko vizuri. Watumishi mna raha awamu hii.
 
Hiyo 6% ya processing fee ni kwa kila application mpya? I mean kila mwezi kama ukiomba hiyo facility wanakata hiyo asilimia sita au ni maramoja tu ndani ya mwaka husika? Kama ni kwa kila application na ukilazimika kuomba salary advance kila mwezi kwa miezi 12 ya mwaka unajikuta umekatwa 72%! Ama kweli banks zinatengeneza super profit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…