Lete Email hapa..... Acha manenoKama sio ya kuaminika MBNA tumepokea email sisi usipende kupinga vitu wakati ushahidi tunao na wengine wamepokea email
Sinaga muda Wa kubishana
Nimepata E-Mail Pia- ila kusema ukweli mm naomba Rais Magu aangalia hizi benk maana haiwezekani kupata nafasi kama huna mtu uko,, kazi za benk zote ni undugulasationi mtupu, wanasahau kwamba ndugu zetu walioko sehemu nyingine kwenye secta nyingine ndo wanaodepost hela kwenye benki wanayopeana nafac tu,,,,why ,,,undugulasation jamani,,, na ukija kuangalia hata ww mwenywewe mteja wao,, mm namuomba Magu afanye ukaguzi wa mnyororo huo na ikibainisha kwamba ndivo ilivyo basi watu waachishwe kazi wachanganywe maana kukaa na ndugu sehemu kama zile mfano kama nyote familia mpo benki hata uwezekano wa wizi ni rahisi mno na uchumi unadumaa maana hakuna mzunguko wa hela pengine.

Mkuu mbona una hasira sana, awajakuita niniSinaga muda Wa kubishana
Wala sasa nasema ukweli MTU anakipinga,nachekaga tu sijawahi kukasirishwa na mitandao ya kijamiiMkuu mbona una hasira sana, awajakuita nini
Oi waddup....??Northern zone wameshajibu,angalieni email zenu.
Mimi nimepigiwa Simu kwa niende kwenye interview.Oi waddup....??
Leta hiyo mail tuoneKama sio ya kuaminika MBNA tumepokea email sisi usipende kupinga vitu wakati ushahidi tunao na wengine wamepokea email
Nauliza in case nmb wanarecruit kupitia ile tovuti yao, hv naweza kutuma maombi thru posta instead of kwny ile sehemu yao ya maombi...??Mimi nimepigiwa Simu kwa niende kwenye interview.
Ni lazima utume kwa mtandao pale wanapotangaza kazi maana ndio njia waliyoianzisha,Nauliza in case nmb wanarecruit kupitia ile tovuti yao, hv naweza kutuma maombi thru posta instead of kwny ile sehemu yao ya maombi...??
Mm pia nmepigiwa niende j3Mimi nimepigiwa Simu kwa niende kwenye interview.