KERO NMB na ESS utumishi kuna nini kinaendelea?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine, ikiwa baadhi ya watumishi ambao wanamikopo katika bank nyingine tofauti na NMB kwenye Mfumo wa ESS UTUMISHI wanaweza kuuza (topup to another bank) mikopo yao kwenda bank nyingine.

NMB na UTUMISHI tunaomba ufafanuzi zidi ya suala hili, kulikoni au kuna agenda gani?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…