nazisubiria kinyama hapa, ila cjacjia wala nini.
basi tupeane taarifa ukisikia zimetoka mi mwenyewe nazisubiri kinoma mwenyewe "KAMA VIPI TUWASILIANE KUPITIA NAMBA HII 0719393245"
ngoja niwasiliane na mkuu wa kanda ya kusini nmb... Ni family friend shavuuuuu hiloooo
daaaaaah! Kaka zile post za kusini ni 4 na sio 30 kama zilivyokuwa zinaonekana. Na application zilikuwa nying sana sasa hapo ndio balaa litaanza tukiangalia hzo nafasi tuumpe nani anayemjua nani?
amakweli watanzania hatuna raha majanga kwel kwel vp kuhusu source ? Nimechanganyakiwa mwenzangu tujulishane zaid