NMB Mobile ni janga la kitaifa

NMB Mobile ni janga la kitaifa

Kimilidzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
1,346
Reaction score
627
Jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa NMB Mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya MPesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo Jumamosi hadi Leo Jumatatu hela yangu haijafika, nimepiga simu zaidi ya mara 60 kwenye customer service yao sijafanikiwa kuzungumza na mtoa huduma licha ya kwamba kuna wakati nimekaa hewani dakika 18 wananiimbia nyimbo Tu huku namaliza charge kwenye simu yangu.

Nilikuwa naihitaji hiyo hela Jumamosi nimekwamishwa, nimeulizia watu wengine wameniambia imeishawatokea kusubiri hadi wiki nzima ndio hela ikahama.
Wito wangu kwa BOT, haya makampuni ambayo kutoa huduma za hovyo ndio sera zao msiwape leseni ya kutoa huduma sensitive kama za mobile money, wanatutesa na kutunyanyasa wateja na hatuna mtetezi. Hapa nilipo hela haipo kwenye account na haipo kwenye simu kwa siku mbili, nini haki yangu. NMB Ni janga la kitaifa, ingawa tumejiunga kwa sababu za ukabwela wetu, tunaomba mtuthamini walau kidogo.
 
Next time tumia Nmb mobile kutoa au kuweka kwa kutumia Tigo pesa within no seconds muamala wako utakuwa umekamilika,

ila usijali si mda itaiingia maana Mpesa hutumia saa 24 hadi 72 kukamilisha muamala wa kibenki.
 
Du, masaa 72!!!

Kwa hiyo tatizo ni Mpesa na NMB au? Sasa mbona wateja hatujajulishwa kuwa tutegemee uchelewaji wa huduma ili tuogope hiyo service kama ukoma.
 
NMB is one of the most inefficient banks in the sub Saharan region. Moreover they have the poorest and incompetent dam customer care management unit!!! I hate this for life. Waliwahi kunikosesha jambo la maana na muhimu sana hawa watu. Incompetent fool.s. Sorry Mods I had to speak my mind!!!!
 
nikisikia benki hii naanza kuumwa kabisa wafanyakazi wanajisikia mno huwa naomba yafirisike ukipiga simu customer care utaambiwa tutalifanyia kazi tatizo lako hujaulizwa hata accounti na amekata simu siku nyingine unakuta hela zimepungua nilifunga account kabisa
 
NMB is one of the most inefficient banks in the sub Saharan region. Moreover they have the most poor and incompetent dam customer care management unit!!! I hate this for life. Waliwahi kunikosesha jambo la maana na muhimu sana hawa watu. Incompetent fool.s. Sorry Mods I had to speak my mind!!!!

Hawa jamaa kinachowapa chati ni kwa vile wamefika katika kila wilaya na wanafanya biashara na taasisi nyingi za serikali hasa halmashauri za wilaya, vinginevyo wangekuwa wameishafutika siku nyingi. Utoaji huduma wao ni wa karne ya 19.

Pia regulators wa shuguli za kibenki inaonekana wamelala fofofo hawajui nini walitendalo ndio maana wateja tunataabika
 
nikisikia benki hii naanza kuumwa kabisa wafanyakazi wanajisikia mno huwa naomba yafirisike ukipiga simu customer care utaambiwa tutalifanyia kazi tatizo lako hujaulizwa hata accounti na amekata simu siku nyingine unakuta hela zimepungua nilifunga account kabisa

Pole mkuu, Mimi nawatafuta hao Customer care toka Jumamosi sijafanikiwa kuwapata. Sijaijua siri ya kuwapata but namba walizotoa zinaita na wimbo wanapiga but simu haipokelewi.
 
Ukitoa pesa kwenye ATM, yatapita masaa zaidi ya 12, wakati mwingine umeshasahau kua ulitoa pesa, ndio message inakuja kwenye simu yako kua umetoa pesa...!!! majanga. Tofauti na benki nyingine message ni hapo kwa hapo. Kuibiwa ni rahisi sana..!!!
 
NMB is one of the most inefficient banks in the sub Saharan region. Moreover they have the most poor and incompetent dam customer care management unit!!! I hate this for life. Waliwahi kunikosesha jambo la maana na muhimu sana hawa watu. Incompetent fool.s. Sorry Mods I had to speak my mind!!!!

Sure they must review their customer service trainer Maana Mimi niliwahi pata tatizo kwenye ATM NA nilikuwa nahuitaji WA hela mkubwa nimefika kwa hao customers service wananiambia tatizo langu ku credit account while sijapata hela litachukua wiki mbili mpaka tatu nilim mind sana Yule mama pale mjini yani alikuwa ananidanganya hivi hivi while other banks with in 24 hours una assurances ya kurudisha kwenye account husika
 
Dah, kumbe Tanzania kuna customer service trainers, haha haaa. Lazima Ni incompetent kuliko wote duniani. Binafsi naamini CS worker hawana mafunzo yoyote zaidi ya kiburi na nyodo, Leo ndio naskia kuna watu wanawapa training
 
Naunga mkono hoja kabisa hawa NMB wanaboa kuanzia customer care mpaka system nzima ya Banking Operations nimepewa ATM card Arusha naenda Musoma wananiambia haiwezi kutumik sababu mkoa tofauti and bla bla nyingi hilo tatizo wamelishughulikia miezi miwili na baada ya kurejeshewa tena haifanyi kazi Oooh signature hazifanani jamani huu si uhuni.
 
Tena huko Musoma ndio pameniacha hoi yani Bank personnel anapiga stori za kishabiki za kisiasa na genge lake kwa masaa wakati kuna nyomi ya wateja wanasubiria huduma yake loan manager hakai ofisini akishamuhudumia mtu mmoja anaondoka nae call it a day!!! na nimeshatemana nayo.
 
jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa nmb mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya mpesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo jumamosi hadi leo jumatatu hela yangu haijafika, nimepiga simu zaidi ya mara 60 kwenye customer service yao sijafanikiwa kuzungumza na mtoa huduma licha ya kwamba kuna wakati nimekaa hewani dakika 18 wananiimbia nyimbo tu huku namaliza charge kwenye simu yangu.

Nilikuwa naihitaji hiyo hela jumamosi nimekwamishwa, nimeulizia watu wengine wameniambia imeishawatokea kusubiri hadi wiki nzima ndio hela ikahama.
Wito wangu kwa bot, haya makampuni ambayo kutoa huduma za hovyo ndio sera zao msiwape leseni ya kutoa huduma sensitive kama za mobile money, wanatutesa na kutunyanyasa wateja na hatuna mtetezi. Hapa nilipo hela haipo kwenye account na haipo kwenye simu kwa siku mbili, nini haki yangu. Nmb ni janga la kitaifa, ingawa tumejiunga kwa sababu za ukabwela wetu, tunaomba mtuthamini walau kidogo.

nilishaachaga siku nyingi kutumia nmb mobile kwani ni upuuzi mtupu. Hivi bado ina exist?
 
Karibu katika tawi letu lolote la NMB lililo karbu nawe. Ukifka nenda, customer service depatment, ukfka jieleze, then kuna fomu watakupa uijaze. Ukmaliza kuijaza warudshie, then wao wataituma mda huo huo Makao Makuu na ndani ya masaa 24 Makao Makuu watakua wamekurudshia hela yako.
NOTE: Jumamosi na Jumapili Makao Makuu huwa hawafanyi kazi, kwahyo ni bora ukaenda kati ya J3 na Alhamisi.
 
Hivi Vodacom na Tigo wangekuwa na utaratibu mpaka ufike vodashop ndio tatizo lako LA hela litashughulikiwa ingekuwa hatari.
 
Nenda karatu hayana msaada wowote kila cku nenda rudi.rombo ndo usiseme mteja wa alfu 90 anamaliza nusu sa.wako slowly
 
hata mm ni hivyo hivyo ila kwa tgo pesa ni fasta na hapa nawapongeza tigo siyo kila siku kuwapondea tuu jamani kwa hili wamejitahidi
 
Back
Top Bottom