NMB mobile na M-Pesa ni Salama?

NMB mobile na M-Pesa ni Salama?

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Kuna cases kama mbili hii nimezipata toka kwa jamaa zangu wa karibu.

1. Jamaa yangu aliibiwa kwa M-pesa shilingi milioni kama na nusu hivi!
_ pesa zilihamishiwa account nyingine na kutolewa tena kwa awamu awamu.
_ Mzee alikuwa na miradi yake midogomidogo hivyo alikuwa hategemei sana mshara.Akaziacha akakuta hakuna hela.
_Akaamua kufuatilia ikaonekana zilotolewa kwa m_pesa.Ngoma ikawa ni yake pekee Benk wanamwambia aende voda watampa msaada. Kaenda, Polisi kaenda hela zikapotea.

2. Mwaka huu tena ikamtokea jamaa yangu wa karibu.Hadi Sasa hajui afanyeje. NMB statement inaonesha kuwa yeye mwenyewe amekuwa akitoa salio kwa m_pesa wakati hajawahi kumpa yeyote Namba na Hiyo Namba huwa haitumii Mara kwa Mara.
_Mwezi huu kufika hakuna mshahara wote ikabidi sense kulalamika kwa meneja.Baada ya wiki akakuta nusu.
*Iko wazi kuwa wizi wa mtandao nmb unafanywa kwa ushirikiano mkubwa na Vodacom M-PESA.
Hadi Sasa jamaayangu hajui afanyeje.
 
Back
Top Bottom