Pole sana,wakati mwingine kama unashida sana ya pesa au una haraka usitumie huduma hiyo ni heri utumie huduma ya pesa fasta.Nilihamisha pesa kupitia
NMB kwenda M pesa ijumaa hadi leo sijapata kitu. Nimepiga simu huduma
kwa wateja nmb wimbo ni subiri sibiri. Wahusika jirekebisheni kasoro
hizi mtatukosa watumiaji wa huduma zenu