Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Bank pendwa na hawashushi riba??acha mambo yako mkuu, unaacha benki yetu pendwa ili uende wapi sasa. hao wanakutuliza uache wenge
Wameanza kuzinguaWe usinitishe eti maana ni juzi tu nimetoka kufungua account huko..!!!??
gharama ya mkopo siyo riba tu, riba inaweza kushuka gharama zingine zikapanda kufidiaBank pendwa na hawashushi riba??
Binafsi naonaga Nmb ni wawazi kuliko mabenki mengi nchini,hidden costs zao mara nyingi hawazifichi na ni wawazi, huu uwazi wao kwa wateja I think ndo unawagharimu sokoni kwa sehemu Fulani. Wateja wa Tanzania wengi wanapenda kudanganywa na wakishaingia kingi ni kulalamika lalamika tu. in the end Kila choice ya mteja ni lazima iheshimiwe.acha mambo yako mkuu, unaacha benki yetu pendwa ili uende wapi sasa. hao wanakutuliza uache wenge
Duh- Crdb???? hauko serious aiseeNMB ni Benki iliyo jidhatiti kuwanyonya na kuwadidimiza watumishi, inalalamikiwa sana hii Benki, ni vyema Gavana Mkuu na timu yake wakafuatilia hii Benki ya NMB .....naeashauri watumishi wahamie CRDB ni mkombozi wao.
Wameshusha mkuu tangu mwezi uliopita riba ni 16% toka 17% hebu fuatiliaBank pendwa na hawashushi riba??
Tafuta fedba mahali fanya liquidation, then kakopenkwingine urudishe fedha ya watuNi miezi sasa watumishi wanaotaka kuuza deni kutoka NMB kwenda mabenk mengine wamekuwa wakicheleweshewa balance zao ili tu kusudi wasikope huko kwingine isipokuwa NMB.
Watumishi hawa wana mipango mingi na hiyo mikopo wanayotaka kuichukua, na hivyo wataongeza mzunguko wa pesa mtaani.
Mathalani watu wanataka kujenga, watanunua vifaa, wanataka kununua magati, watalipa kodi na kununua mafuta, wanaotaka kuboresha biashara zao wataajiri na kulipa kodi, wanaotaka kuoa nk. Wapo wanaotaka kuwekeza sehemu mbalimbali.
Shughuli zote hizi zinaleta manufaa kwa uchumi wa nchi. Kwa mbinu hii ambayo yawezekana maafisa mikopo wote NMB wameambiwa ni kuwa wawe wanasingizia mfumo. Ila ukiwa unakopa kwao hakuna tatizo la mfumo, ukiwa unauza deni lao, kuna tatizo la mfumo. Hasa Mwanza branch zote zimeelekezwa hivi.
Pamoja na hilo NMB inahudumia watumishi wengi wa serikali, sasa kwa nn wasishushe riba kama inawapensa hao watumishi!! Jamaa wanapigaa sanaaBinafsi naonaga Nmb ni wawazi kuliko mabenki mengi nchini,hidden costs zao mara nyingi hawazifichi na ni wawazi, huu uwazi wao kwa wateja I think ndo unawagharimu sokoni kwa sehemu Fulani. Wateja wa Tanzania wengi wanapenda kudanganywa na wakishaingia kingi ni kulalamika lalamika tu. in the end Kila choice ya mteja ni lazima iheshimiwe.
Haya mabenki ni changamoto sana, Mf. CRDB Wameshusha riba to 14% alafu wameongeza hidden costs za mkopo, ni usanii mtupu.Pamoja na hilo NMB inahudumia watumishi wengi wa serikali, sasa kwa nn wasishushe riba kama inawapensa hao watumishi!! Jamaa wanapigaa sanaa