Wandugu Naomba kujuzwa kama kuna Makato yoyote ukienda kutoa fedha Dirishani NMB Bank?
Ndugu yangu kanambia kuna Makato ya kutoa pesa NMB,nimemtumia ndugu yangu milioni nyingi Tu sasa ndo kanipa habari kuwa kuna Makato,nauliza kwenu kuwa je kuna kitu kama hiki?
Sababu ya kuuliza nikuwa Mimi naishi Mbali na Tanzania.